Organizers
Clouds Media Groups
Malkia Wa Nguvu
Team ya Malkia wa nguvu imefika tayari Arusha ikiwa ni kuelekea kwenye kilele chake tarehe 27 mwezi wa saba pale AICC na team #LeoTena #Dambwe na #Mgundinu wanazunguka sehemu tofauti kupiga story na Malkia na Balkia wa Arusha.
Kumbuka dhumuni la Malkia wa nguvu ni kutoa motisha kwa wanawake ambao wanapambana na kuleta matokeo chanya kwenye jamii.