- This event has passed.
Malkia Wa Nguvu Manyara
27 Jul, 2024 @ 8:00 am - 5:00 pm
MalkiaWaNguvu2024 imeanza rasmi kanda ya Kaskazini na leo #LeoTena imefanyika live kutokea soko la Manyema kuelekea kwenye kilele chake tarehe 27 pale AICC Arusha.
Malkia wengi wamejitokeza kushiriki na kusherehekea na CMG kwa mchango mkubwa unaofanywa na wanawake wa Kaskazini katika sekta tofauti.
