Wafanyabiashara Watembelea Soko Kubwa la Fanicha na Vifaa mbalimbali Vya Mapambo – Foshan ,China

Wafanyabiashara 77 wa Tanzania chini ya Mwavuli wa Chama cha wanawake wafanyabiashara Tanzania -TWCC , wametembelea Soko Kubwa La Fanicha na Mapambo Nchini China ,Lengo Kuu likiwa ni kujifunza na Kuona Bidhaa zenye Ubora na namna Ya Kuongeza Uzalishaji wenye Thamani Tanzania .
Ziara hii inatarajiwa kuwa ya mafanikio zaidi katika kipindi hiki ambacho mazingira ya biashara ni wezeshi na Wafanyabaishara/Wajasiriamali wa Tanzania wanatakiwa kujiimarisha ili kuweza kushindana katika masoko ya Kikanda na Kimataifa .

Washiriki wametoka katika mikoa zaidi ya 20 nchini Tanzania .

Add a Comment

Your email address will not be published.

Subscribe
SUBSCRIBE NOW

Join Malkia Wa Nguvu  Family 

Stay updated with all latest updates,upcoming events & much more.
close-link
Translate »