
Wafanyabiashara Watembelea Soko Kubwa la Fanicha na Vifaa mbalimbali Vya Mapambo – Foshan ,China





Wafanyabiashara 77 wa Tanzania chini ya Mwavuli wa Chama cha wanawake wafanyabiashara Tanzania -TWCC , wametembelea Soko Kubwa La Fanicha na Mapambo Nchini China ,Lengo Kuu likiwa ni kujifunza na Kuona Bidhaa zenye Ubora na namna Ya Kuongeza Uzalishaji wenye Thamani Tanzania .
Ziara hii inatarajiwa kuwa ya mafanikio zaidi katika kipindi hiki ambacho mazingira ya biashara ni wezeshi na Wafanyabaishara/Wajasiriamali wa Tanzania wanatakiwa kujiimarisha ili kuweza kushindana katika masoko ya Kikanda na Kimataifa .Washiriki wametoka katika mikoa zaidi ya 20 nchini Tanzania .
All Categories
Recent Posts
Malkiawanguvu0 Comments
CLOUDS MEDIA GROUP YAZINDUA MSIMU WA MALKIA WA NGUVU 2025 KWA KAULI MBIU “TWENDE DUNIANI”
Malkiawanguvu0 Comments
Wafanyabiashara Watembelea Soko Kubwa la Fanicha na Vifaa mbalimbali Vya Mapambo – Foshan ,China
Malkiawanguvu0 Comments
Wanawake Wafanyabiashara Chini ya TWCC Wawasili Nchini China.
+ 255 779 888 901
info@malkiawanguvu.co.tz